Mimmmmmmmmhhhhhhhhhh atajibeba na shuka,blanket,mbeleko????
Jamaa kauliza jengo la Nyumbani Lounge.... pale jide analipa pango sio mali yake muache kupotosha.
Jamaa kauliza jengo la Nyumbani Lounge.... pale jide analipa pango sio mali yake muache kupotosha.
Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa
Miaka 9 kwenye ndoa alafu mtu ni Meneja wako utasema hana mchango wowote kwenye mafanikio yako? Ukisikia kulewa sifa ndio huko.
Kama mke wa nyumbani tu aliyeolewa akiachwa na mwanamme sheria inatambua zile mali ni za wanandoa wote sembuse ije kuwa huyu waliooana na wanafanya kazi pamoja kama timu uje kusema mume hana mchango wowote kwenye mafanikio ya mwanamke???? Huo utakua ni uchizi.
Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa
Binamu leta ubuyu huo hapa...
Ila inabidi wagawane kama wakiachana..........
Ila inabidi wagawane kama wakiachana..........
Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa
uni-cc binamu
kuna Binti anamimba ya Gadna tayari
kuna Binti anamimba ya Gadna tayari
Kwenye pm hakuna cc bana
Jide angemruhusu tu Gadna akazaa na mwingine,sasa ilikua ni kama anamwaga choon tu lo