Eti Lady Jaydee amfuta urithi G Habash

Eti Lady Jaydee amfuta urithi G Habash

Mimmmmmmmmhhhhhhhhhh atajibeba na shuka,blanket,mbeleko????

Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa
 
Jamaa kauliza jengo la Nyumbani Lounge.... pale jide analipa pango sio mali yake muache kupotosha.

acha ushamba wewe , unapenda umbea halafu hujui, huo mgahawa kwa taarifa yako toka unajengwa ulikuwa unatangazwa sana clouds ata kwenye magazine ya baabkubwa waliwahi kuandika jide anajenga mgahawa wa mil mia na 50 pale kinondoni, nyie wambea mnaochipukia ndo mnaongea yenu msiyoyajua.
 
Jamaa kauliza jengo la Nyumbani Lounge.... pale jide analipa pango sio mali yake muache kupotosha.

Ni wapi huyu uliye mnukuu kaongelea jengo? Ndani ya jengo kuna samani na kila kitu ambavyo hatujui kama walivichuma pamoja au lah!
Pengine hatuwezi kujua makubaliano walio kuwa nayo Jide na Gardner!

Swala la kusema kamtoa kwenye urithi kama ni kweli basi ni wazi G hana mchango wowote kwenye hizo Mali na kama angekuwa na mchango hapa swala lingekuwa ni jinsi ya kugawana mali hizo kisheria kulingana na mchango wa mtu!

Kusema Gardner katolewa kwenye urithi ni kumgeuza mtoto wa Jide!
 
Miaka 9 kwenye ndoa alafu mtu ni Meneja wako utasema hana mchango wowote kwenye mafanikio yako? Ukisikia kulewa sifa ndio huko.

Kama mke wa nyumbani tu aliyeolewa akiachwa na mwanamme sheria inatambua zile mali ni za wanandoa wote sembuse ije kuwa huyu waliooana na wanafanya kazi pamoja kama timu uje kusema mume hana mchango wowote kwenye mafanikio ya mwanamke???? Huo utakua ni uchizi.
 
Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa

Bina uwahi bana si unajuaaa ubuyuu
 
Sasa sisi hatuwezi jua makubaliano yao!

Kama watu wanafikia kusema katolewa kwenye urithi ina maana wanasema hana mchango wowote!
Hayo maswali yote ulitakiwa uwaulize walio andika hiyo habari!

Mimi nilikuwa na Jibu kulingana na kichwa cha habari cha hilo gazeti!
 
Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa

Binamu na mie jaman usinifanyie hvyo jaman loh!mpaka nimetaman had kuruka eti warumi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom