Eti Lady Jaydee amfuta urithi G Habash

Vyote vyote, ila anatia huruma, ivi mnajua ni kwa nn jide kamwaga? Ni full aibu binamu nitakupa ubuyu wote kule PM, ni shidaa

binamu ya nn pm...weka hadharan mchele huo
 

Aa siyo mtoto bali ni tegemezi. Yaani alikuwa kaposwa na sasa kalimwa "twalaka". Sasa hivi akili itamrudia na ataanza kuweweseka; haswa akishaanza kujiuliza pa kuhemea kitoweo maana waliomdanganya sasa hivi watamwaga! Hah ha haaaaa!
 
Ndoa ambayo haina matunda ya watoto ni shida.....!!!

Hata ndoa zenye watoto ni shida pia, wengi wameishia mtaani baada ya ndoa kuvurugika, ndoa si watoto tu na kupata watoto ni mapenzi ya Mungu.
 
Mhhhh warumi we kibokooo mhh maskini jide miaka 9kwenye ndoa shetani naye atuache wengine na ndoa zetu tena apite mbali manake bado no asali sitaki shubiri miye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…