Eti ma-senior wenzangu katika kilele chao kati ya Ray-C na Lady Jay Dee, nani alikuwa bora kuzidi mwenzie?

Eti ma-senior wenzangu katika kilele chao kati ya Ray-C na Lady Jay Dee, nani alikuwa bora kuzidi mwenzie?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Mamaa wa kiuno bila mfupa.
Screenshot_20241008-120903.png

Binti machozi, Komando Jide

Screenshot_20241008-120753.png

Kuleni vyuma kidogo:

View: https://youtu.be/mJs7rPVBRn4?si=ueTatlNOl8Z78ZRU


View: https://youtu.be/N046uBmyZZQ?si=ks60wBXIhtUHrv8s
 
Jide ana nyimbo nyingi kali na ame-feat. na Wanamuziki wengi compared na Ray C.
Jide hadi sasa yupo live mfano the comming Bongo Flavour Honour yeye ndo atakuwa msanii wa mwezi, Ray C hata hajulikani alipo, sidhani hata huko aliko hata anaweza alikwa kwenye vibanda umiza apige show, coz hawezi tena.
 
Kulingana na muktadha wa swali lako hapo jibu ni RAY C

Jide amekaa kwenye game kwa muda mrefu sana akiwa kwenye ubora wake uleule, na ndani ya muda huo ametoa nyimbo nyingi sana kali

Ray C kadumu kwenye game kwa muda mfupi zaidi ya Jide, lakini ndani ya muda huo mfupi alifika kwenye peak ya juu sana ambayo Jide hajawahi kufikia

Ray C alikua Mzuri wa kuvutia, ana sauti tamu, alikua anajua kuimba na alikua anajua kucheza
Jide alikua anajua kufanya muziki mzuri

So ukichukulia kwa ujumla Jide ameutendea haki zaidi muziki na kipaji chake kuliko Ray C
 
Wanasemaje huko embu waja mumuelezeee 🎶🎶
Kwanza yeye hanaga preshaaa 🎶🎶🎶🎶
Pili mjini hajaja kuchezaaa🎶🎶🎶
Tatu moyo wake ni treasure 🎶🎶🎶
..................
Ray C alikuaga moto nae sema mambo mengi
 
Back
Top Bottom