Eti ma-senior wenzangu katika kilele chao kati ya Ray-C na Lady Jay Dee, nani alikuwa bora kuzidi mwenzie?

Eti ma-senior wenzangu katika kilele chao kati ya Ray-C na Lady Jay Dee, nani alikuwa bora kuzidi mwenzie?

Kabla ya machozi alitoa nyimbo kadhaa kama Tunaweza, Kamata na Maumivu. Machozi ilikuwa single kwenye albamu yake ya kwanza yenye jina hilo hilo.
Ila hazikuwa hit songs hata yeye mwenyewe Jide anapozungumzia miaka aliyokuwa kwenye game huwa anaanzia mwaka 2000 alipotoa 'machozi'
 
Back
Top Bottom