Eti Marco Rubio, kwani Mwafwele alikua amepanga kuizuru Marekani sio hata mumzuie?

Eti Marco Rubio, kwani Mwafwele alikua amepanga kuizuru Marekani sio hata mumzuie?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kwa asivyo na mambo mengi,
sidhani kama huyo muungwana alikua anafikiria au hata kuizuru Burundi au Uganda tu kwenye maisha yake yake yote humu duniani, sembuse Marekani?

For sure,
Marco Rubio umekurupuka Mzee baba kwa kupotoshwa na vibaraka wako.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Walichokifanya Marekani, ni kupuliza manyoya uchi wa kuku uonekane.
 
Walichokifanya Marekani, ni kupuliza manyoya uchi wa kuku uonekane.
kwahiyo kumbe Marco Rubio ni mpuliza manyoya tu gentleman? dah, mnadharau sana wajemeni 🤣
 
Kwa asivyo na mambo mengi,
sidhani kama huyo muungwana alikua anafikiria au hata kuizuru Burundi au Uganda tu kwenye maisha yake yake yote humu duniani, sembuse Marekani?

For sure,
Marco Rubio umekurupuka Mzee baba kwa kupotoshwa na vibaraka wako.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Una akili ndogo sana
 
Kwani makundu alipanga? Mnasomea ujinga chawa? After all lipo nje ya uwezo wa chawa dunia nzima, mamaduro keshapata ujumbe anashauriana na baba kombo namna ya kumtuma akachonge kule duniani. Fanya mengine utalipwa tu
 
Back
Top Bottom