Una akili ndogo sanaKwa asivyo na mambo mengi,
sidhani kama huyo muungwana alikua anafikiria au hata kuizuru Burundi au Uganda tu kwenye maisha yake yake yote humu duniani, sembuse Marekani?
For sure,
Marco Rubio umekurupuka Mzee baba kwa kupotoshwa na vibaraka wako.π
Mungu Ibariki Tanzania