Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
- Thread starter
-
- #21
Unalia nini na umeambiwa ukweli?
Fanya marekebisho
Aah bwana kazi niliweza.kama vipi njoo uangalie na ikiwezekana na wewe nikufanyie kazi.
hahahahah never
ukimaliza kulia unishtue
hahaha hivi wanaume wanaolia lia mbona mi sina bahati nao
Hata karafuu zinasaidia pia, kuwa na mazoea ya kutafuna japo kijiti kimoja au viwili kwa siku.
Pokea na michango ya wakuu wengine waliotangulia itakusaidia,
Hali ikizidi kuwa mbaya kamuone mtaalamu wa Meno haraka iwezekanavyo
basi fumba mdomo maana domo lako linanuka hadi huku, ptuuuu
hahaha hivi wanaume wanaolia lia mbona mi sina bahati nao
nitafute mimi, mimi ndio kiboko wa kulia lia...
looooo bomba la choo cha feri kivipi???
maana bomba linapita u.ground
na kamwe huwez kuona bomba la chooo
UNAONA SHIMO CHA CHOO
UMATUKANWA KWELI AU UMEJITUKANA???
hahahahahahah jamani humu kuna watu wananipa rahaaaaaaaaa
kufanya kazi umeshindwa ila kutujulisha wana JF umeweza
Raha mpaka wapi wakati wenzako tunalia heee! heee! nitajinyonga baadae!
Me nimelia bana sijacheka
hahaha wanifanya mimi bibi yako eeeh