Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Unalia nini na umeambiwa ukweli?
Fanya marekebisho

Ukweli gani mkuu! hizi ni kashfa tuu.mbona mudy alitumia mswaki wa mti na sijasikia mdomo wake ulikuwa ukinuka? Iweje mimi natumia miswaki na dawa za garama?
 
Hata karafuu zinasaidia pia, kuwa na mazoea ya kutafuna japo kijiti kimoja au viwili kwa siku.

Pokea na michango ya wakuu wengine waliotangulia itakusaidia,

Hali ikizidi kuwa mbaya kamuone mtaalamu wa Meno haraka iwezekanavyo
 
Asante kwa ushauri mkuu.inamaliza kabisa au inapooza tu?
 
hahahahahahah jamani humu kuna watu wananipa rahaaaaaaaaa
 
looooo bomba la choo cha feri kivipi???

maana bomba linapita u.ground

na kamwe huwez kuona bomba la chooo

UNAONA SHIMO CHA CHOO

UMATUKANWA KWELI AU UMEJITUKANA???

Kanitukana,nitampa talaka 20 alafu najinyonga.nalia heeee!!! heeeee! karibu nitulize! heeeee!
 
Back
Top Bottom