Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau Wasalam.
Nimeambiwa na Rafiki yangu kuwa Mkoani Morogogoro wapo samaki wakubwa sana kuliko wale wa Ziwa Victoria!
Akadai kuwa Samaki hao wanasifa zifuatazo:
(1) Wakubwa sana kuliko Sato na Sangara.
(2) Wana viini lishe vya nguvu sana.
(3) Ni watamu sana kuliko Sato na Sangara.
(4) Wanapatikana kwenye Mito na Mabwawa!
Namuheshimu sana rafiki yangu huyu ambaye ni msomi nguli na Mzalendo wa kuaminika. Lakini kwa jambo hili nimeamua kuwa Thomaso.
Na kama ni kweli anachonieleza basi samaki hao watakuwa wamekosa sifa zilizotajwa kwenye kitabu cha Mambo ya Walawi.!
Naomba wadau mchangie.