Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mologolo mjini?!...kama ungesema Ng'wanza angalao ningesema hapo lauda sawa.duh.... rakini lafiki wewe rire jiji kasolo bahali rinakosa samaki kweri.... mologolo jiji kasolo bahali rakini rina mito na mabwawa razima riwe na samaki.....
[emoji23][emoji23][emoji23] wameenda mbali sana kufananisha au kulinganisha vitu vyao na East Africa kwa maana East Africa ni kubwa mno bora wangesema kwa Tz.Kama aliyekuambia ni mluguru au mkaguru usimwamini, hao watu kila kitu kwao ni kikubwa, kwa masikio yangu nimewasikia wakisema
- Mindu ndiyo bwawa kubwa kuliko yote Afrika Mashariki na Kati
- Round about ya Msamvu ndiyo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati
- Stand ya Msamvu ndiyo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati
- Mlima Uluguru ndiyo wa pili kwa urefu katika Afrika Mashariki baada ya Kilimanjaro
- Morogoro ndiyo inaongoza kuwa na vyuo vikuu vingi Tanzania
- Morogoro ndiyo inaongoza kwa kutoa wachezaji nyota Tanzania (sina uhakika)
- Na sasa Morogoro ndiyo yenye samaki wakubwa kuliko wa ziwa Victoria
- Very soon watawaingiza wahanga wa lory la mafuta kwenye records (tusubiri)
Waruguru sound sana
Mologolo ni jiji kasolo Bahali sasa hao Samaki wakubwa wanatokea wapi
Hivi visamaki vya mitoni vingi asiliake ni Perege kula Perege yataka Moyo ni sawasawa na kula dagaa mkubwaAkuna xamaki mtamu km xato mkuu axikuanbie mtu..ayo maxamaki anayoxema yako kule ifakara mabaya km nn taxrlex balaa..ila ni machibo..boo chibonge..ukiyaangalia hb utayapenda ila hakuna kitu
Hivi visamaki vya mitoni vingi asiliake ni Perege kula Perege yataka Moyo ni sawasawa na kula dagaa mkubwa
Sato mpango mzima,ila mimi kuna kipidi nilienda kwenye Visiwa vya Sengerema kupitia sehemu inayoitwa mchangani kwa Boat nilikaa huko mwezi mzima kibiashara
Nikagundua wenyeji wa Visiwani wanakula sana Sangara na mimi nijajiunga kwenye mlolongo wa kula Sangara ebanaee uzalendo ulinishinda nikatafuta binti ili nipumzike nae nikampata binti mmoja wa Kisubi wakati huo simu za mkononi zilikuwa ni Dar tu.
Kwa maana nilikomaa nae kwa wiki mbili siku naondoka niliondoka kwa huzuni sana nikamuachia hela nikamuelekeza na mji niotoka kama kutakuwa cha ziada kama ujauzito kwa maana ilikuwa ni mtu na mtu apana kuachia😂😂
Sangara kiboko!
Kama aliyekuambia ni mluguru au mkaguru usimwamini, hao watu kila kitu kwao ni kikubwa, kwa masikio yangu nimewasikia wakisema
- Mindu ndiyo bwawa kubwa kuliko yote Afrika Mashariki na Kati
- Round about ya Msamvu ndiyo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati
- Stand ya Msamvu ndiyo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati
- Mlima Uluguru ndiyo wa pili kwa urefu katika Afrika Mashariki baada ya Kilimanjaro
- Morogoro ndiyo inaongoza kuwa na vyuo vikuu vingi Tanzania
- Morogoro ndiyo inaongoza kwa kutoa wachezaji nyota Tanzania (sina uhakika)
- Na sasa Morogoro ndiyo yenye samaki wakubwa kuliko wa ziwa Victoria
- Very soon watawaingiza wahanga wa lory la mafuta kwenye records (tusubiri)
Labda kama unamaanisha wale wa pale samaki samaki. Ndukiii
Yule binti aliniambia wazazi wake wako Biharamulo na ndio kwaoUna mtoto visiwani sasa hivi atakuwa mkubwa kamtafte
kaka nakataa katika hili mimi nipo ifakara hapa viwanja 60 ila naweza sema kuwa ukubwa wa kitoga huwezi ukalinganisha na ukubwa wa sanagara na hata ladha kwa upande wangu. Hili utaweza kubisha kama hujawahi kukaa maeneo kama mwanza,ukerewe,kinesi,kibuyi,shirati na maeneo yanayozunguka ziwa viktoroa.
Kwani sangara mara nyingi sokoni inabidi akatwe vipande kisha kuuzwa kwa kilo maana mtu moja hawezi nunua labda apelekwe kiwandani.
Na ukiacha huyo kitoga hao wengine hamna kitu kama perege,ndungu,kambale. Hamna kitu.
Yule binti aliniambia wazazi wake wako Biharamulo na ndio kwao
Sasa muda mwingi sana umepita ilikuwa awamu ya tatu wakati Raisi Ben Mkapa
Ninaweza kwenda leo kumtafuta nikakuta mtoto kabambikiwa mtu mwingine
Tena pale kisiwani kulikuwa na Wakurya wengi na Wajaluo mchanganyiko na Wasukuma na Wazinza
Ila nilikiwa nikiambiwa Wakurya wengi ni wale Majambazi yaliyokuwa yamekimbia Mwanza yamekuja visiwani kwa sababu kulikuwa hakuna hata kituo cha Polisi
Sasa leo nikirudi nikute yule Binti kaolewa na na Mkurya na kambambikia mimba
Nitasambabishia Mama wa watu asanangwe na mapanga
Mimi mwenyewe niliishi kibabe tu pale Kisiwani
Ila iko Siku nitapita Bihamulo nilimdadisi sana mpaka akaniambia jina la Ukoo wake
Yaani ilikuwa iwe hit n run lakini yule Mtoto alihamia kwenye kambi niliyokodisha ya wavuvi🤣🤣🤣🤣kwamba pumzi ni ya mwendokasi au🤣🤣🤣!hii ndo naisikia kwako mkuu..!kwamba mtu n mtue...ulipo yupo🤦
hapa nakubaliana na wewe na hasa kama umezoea sato sangara mumi, migebuka ukila hawa samak hamna kitu mle pia ukiwa wa imani ile (wasabato) huwezi kula samaki huku labda perege maana ukimtoa perege waliobaki wte hawana magamba.Samaki wote wa ifakara ni tasteless...yaan km unatafuna godoro..hyo miba sasa..mimi nilishawashindwa
Hahaa sangara wanaongeza libido mzee,Hivi visamaki vya mitoni vingi asiliake ni Perege kula Perege yataka Moyo ni sawasawa na kula dagaa mkubwa
Sato mpango mzima,ila mimi kuna kipidi nilienda kwenye Visiwa vya Sengerema kupitia sehemu inayoitwa mchangani kwa Boat nilikaa huko mwezi mzima kibiashara
Nikagundua wenyeji wa Visiwani wanakula sana Sangara na mimi nijajiunga kwenye mlolongo wa kula Sangara ebanaee uzalendo ulinishinda nikatafuta binti ili nipumzike nae nikampata binti mmoja wa Kisubi wakati huo simu za mkononi zilikuwa ni Dar tu.
Kwa maana nilikomaa nae kwa wiki mbili siku naondoka niliondoka kwa huzuni sana nikamuachia hela nikamuelekeza na mji niotoka kama kutakuwa cha ziada kama ujauzito kwa maana ilikuwa ni mtu na mtu apana kuachia[emoji23][emoji23]
Sangara kiboko!