Eti Morogoro kunapatikana samaki wakubwa kuliko wale wa Ziwa Victoria?

Biharamulo natarajia kwenda wiki ijayo nikifika huko nitakukumbusha unielekeze niulizie katika hicho kijiji siwezi kuuliza direct nitauliza kwa njia za panya ili nisihatarishe usalama wa mama na mtoto.
Nina kazi ya barabara.
Natumai atakuwa kijana mkubwa
Ukifika Biharamulo nistue najua kutoka hapo Ngara sio mbali
 
Hao wa Rwanda unawasiliana nao?
Mawasiliano ya aghalabu kuna kipindi nilikuwa naishia Kigali halafu nafanya Mawasiliano Butare anakuja
Yule wa Kigali anakuwa hajui nataka mwezi wa kumi na mbili niende nikalipue bomu ili ndugu wajuane na hawa wa Dar.
 
Mawasiliano ya aghalabu kuna kipindi nilikuwa naishia Kigali halafu nafanya Mawasiliano Butare anakuja
Yule wa Kigali anakuwa hajui nataka mwez wa kumi na mbili niende nikalipue bomu ili ndugu wajuane na hawa wa Dar.
Utakuwa umefanya vyema si unajua watanzania wenye asili ya Rwanda wengi wao ni ma Genius usifanye kosa walete watoto ma Genius wawe watawala maana sisi tumezaliwa tuwatawale wengine hatuja zaliwa kutawaliwa.
Vizuri sana
 
Ok! Mimi nakumbuka kuna kipindi tulifanya mazungumzo ukaniambia uko Ngara.
Au ulienda kusalimia
Nilikuwa na kazi nafanya Rusumo na nilikuwa na mradi wa kupeleka nafaka Rwanda na nilikuwa nime plant mashine ya kusaga mahindi Rwanda Kibungo vijijini ilikuwa kila mara naenda huko kwaajili ya kuona maendeleo, Serikali ikawekea mazingira magumu nikauza mashine nikaacha hiyo biashara.

Lakini safari moja huanzisha nyingine ya kusalimia ilikuwa mbadala tu zaidi nilienda kikazi.
 
Utakuwa umefanya vyema si unajua watanzania wenye asili ya Rwanda wengi wao ni ma Genius usifanye kosa walete watoto ma Genius wawe watawala maana sisi tumezaliwa tuwatawale wengine hatuja zaliwa kutawaliwa.
Vizuri sana
Kwakweli mimi siamini katika hilo,mimi naamini Binadamu wote wako sawa ila nimeona sasa ni wakati muafaka wa kukusanya mbegu zangu ili zijuane zipendane zisaidiane ili na mimi siku Betri ikitolewa waje kuliona kaburi la Baba yao.
 
Ni kweli binadamu wote ni sawa kuzaliwa na kufa lakini maisha yetu ya kuishi duniani ni tofauti yametawaliwa na ubinafsi.
Ni jambo jema mno wafahamiane
 
Nilikuwa na kazi nafanya Rusumo na nilikuwa na mradi wa kupeleka nafaka Rwanda na nilikuwa nime plant mashine ya kusaga mahindi Rwanda Kibungo vijijini ilikuwa kila mara naenda huko kwaajili ya kuona maendeleo, Serikali ikawekea mazingira magumu nikauza mashine nikaacha hiyo biashara.
Lakini safari moja huanzisha nyingine ya kusalimia ilikuwa mbadala tu zaidi nilienda kikazi.
Kibungo Zaza usinikumbushe nilipata Binti mmoja tukaanza kuonana mara kwa mara ila kipindi hicho Vita ilikua bado haijaanza
Na mimi nilikuwa barubaru kwelikweli

Inkotanyi zilipoingia rasmi na Wakongo nao wakajiunga kwenye vita ndio ukawa mwisho wa mawasiliano na yule binti.

Baada ya vita kupoa kidogo niikajaribu kupata habari zake lakini ilikuwa imeshaanza kuwa hatari.

Nilifuatilia baada Mauaji ya kutisha ya Kimbari nikasikia Mama yake na Baba yake waliuwawa na Interahamwe ila yeye na kaka ya walikimbilia Burundi.
 
Aisee ingekuwa sasa hivi wangekuita Baharia lakini naamini umevuka hiyo hatua.
Ila kiukweli watoto wa Kinyarwanda ni wazuri mno natural hata kama una roho ngumu kiasi gani wanamvuto wa lazima.
 
Mimi mara nyingi ilikuwa wakati tunapiga Primus au Mitzing najikuta natengeza marafiki wengi halafu mara nyingine wananikaribisha makwao ndipo nakutana na Visu vikali kwelikweli halafu unajua uzuri wa Wanyaruanda unaweza kuanzisha uhusiano na Dada ya rafiki yako bila tatizo lolote tena mnaweza kunywa na famila nzima.na hata wazazi hawana tatizo wakati unatoka na Binti yao.
 
Nenda kwenye mabwawa ya maji taka ya chuo kikuu Mzumbe unaweza pata samaki wa aina hiyo!
 
Mijitu ikisikia Morogoro Akili zote ziko Msamvu au Mindu, Kuna Ifakara, Kilombero, Turiani Miji yote hiyo iko Morogoro.
 
Back
Top Bottom