Kama aliyekuambia ni mluguru au mkaguru usimwamini, hao watu kila kitu kwao ni kikubwa, kwa masikio yangu nimewasikia wakisema
- Mindu ndiyo bwawa kubwa kuliko yote Afrika Mashariki na Kati
- Round about ya Msamvu ndiyo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati
- Stand ya Msamvu ndiyo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na Kati
- Mlima Uluguru ndiyo wa pili kwa urefu katika Afrika Mashariki baada ya Kilimanjaro
- Morogoro ndiyo inaongoza kuwa na vyuo vikuu vingi Tanzania
- Morogoro ndiyo inaongoza kwa kutoa wachezaji nyota Tanzania (sina uhakika)
- Na sasa Morogoro ndiyo yenye samaki wakubwa kuliko wa ziwa Victoria
- Very soon watawaingiza wahanga wa lory la mafuta kwenye records (tusubiri)