Eti Morogoro kunapatikana samaki wakubwa kuliko wale wa Ziwa Victoria?

Eti Morogoro kunapatikana samaki wakubwa kuliko wale wa Ziwa Victoria?

Wadau Wasalam.

Nimeambiwa na Rafiki yangu kuwa Mkoani Morogogoro wapo samaki wakubwa sana kuliko wale wa Ziwa Victoria!
Akadai kuwa Samaki hao wanasifa zifuatazo:

(1) Wakubwa sana kuliko Sato na Sangara.
(2) Wana viini lishe vya nguvu sana.
(3) Ni watamu sana kuliko Sato na Sangara.
(4) Wanapatikana kwenye Mito na Mabwawa!

Namuheshimu sana rafiki yangu huyu ambaye ni msomi nguli na Mzalendo wa kuaminika. Lakini kwa jambo hili nimeamua kuwa Thomaso.

Na kama ni kweli anachonieleza basi samaki hao watakuwa wamekosa sifa zilizotajwa kwenye kitabu cha Mambo ya Walawi.!

Naomba wadau mchangie.
Aise victory Kuna samaki wakubwa Kama ng'ombe ujue,,sasa Moro Kuna mto unahifadhi samaki mkubwa hivyo?
 
Mimi mara nyingi ilikuwa wakati tunapiga Primus au Mitzing najikuta natengeza marafiki wengi halafu mara nyingine wananikaribisha makwao ndipo nakutana na Visu vikali kwelikweli halafu unajua uzuri wa Wanyaruanda unaweza kuanzisha uhusiano na Dada ya rafiki yako bila tatizo lolote tena mnaweza kunywa na famila nzima.na hata wazazi hawana tatizo wakati unatoka na Binti yao.
Inaonekana wana itikadi za kizungu.vipi ulidate nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anaweza akatambulika kwa usomi nguri lakini asitambulike kwa maarifa bora. Maarifa yenye manufaa ndio kayakosa hanayo kabisa
 
Back
Top Bottom