Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Ya kweli hayo mkuuInawezekana yupo sahihi ingawa sina uhakika sana,ila nachojua ni kwamba mto Kilombero wale samaki wake aina ya kitoga ni wakubwa kuliko sato na wanafanana fanana na sangara kwa ukubwa.
Kwa upande wa utamu ni kweli hao samaki aina ya kitoga si sato au sangara nayewakaribia kwa utamu
Mwezi uliopita nilikuwa Ifakara, nimekula samaki wanaitwa NDUNGU ni watamu sanaInawezekana yupo sahihi ingawa sina uhakika sana,ila nachojua ni kwamba mto Kilombero wale samaki wake aina ya kitoga ni wakubwa kuliko sato na wanafanana fanana na sangara kwa ukubwa.
Kwa upande wa utamu ni kweli hao samaki aina ya kitoga si sato au sangara nayewakaribia kwa utamu
Wako wanaliwa pande zote, ongeza bei babamkwe.Wangekuwa wakubwa wangekuwa wanaliwa pande zote, samaki mkubwa huwezi kumla pande mbili zote
Upande mmoja tu utakuwa umeshiba na kutosheka kama ni mkubwaWako wanaliwa pande zote, ongeza bei babamkwe.