Eti mtaalamu ila ukienda garage kwake unakutana na vyuma zaidi ya kumi vimelala

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe

Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
 
ukienda hospital hukuti wagonjwa wengine?!
 
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe

Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
Sasa utafanyaje?
 
Wrong: hujafikiria ya kwamba inawezekana ni wamiliki wameshindwa kumudu kununus vipuri (spare parts)?
Na hili ndilo jibu sahihi. Mmiliki anambiwa atoe pesa ya kununulia spare unakuta anazunguka tu au hana. Hata mimi niliwahi kuliacha gari langu baada ya kukosa pesa. Spare za BMW na magiri mengine dizain hiyo siyo mchezo linapokuja swala spare
 
Kitanzania hii haishangazi kabisa. Kati ya watu 10 wanaomiliki magari unaweza kuta ni wa-4 tu ndo wanaweza kumudu matengenezo ya papo kwa papo ikitokea gari inataka service ya zaidi ya milioni 1.5.

Wengine hapo wanaweza kukaa hata miezi mitatu. Na hapo ikatokea shida kidogo ile hela ikienda kwenye matumizi mengine basi ndo gari itakaa juu ya mawe miezi sita
 
Tatizo lingine ni kumiliki ambavyo siyo size zetu. Mimi binafsi nilikuja gundua sikuwa nimefikia level za kumiliki hilo gari. Level yangu ilikuwa ni Passo au nikienda sana IST, nikajifanya kujua mwisho wa siku kutwa natembea kwa miguu huku nimepaki Bmw nyumbani kisa tu siwezi mudu mafuta. Gari inatembea mara moja tu kwa mwezi au isitembee kabisa inabaki inabaki kupashwa tu kiporo ili betri isije kuzaa tatizo lingine
 
Inaweza kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wanaomiliki magari wapo kwenye hii hali. Unakuta mtu gari yake ya kwanza anainunua kwa hype anajikuta kwenye hizo sports cars wakati unakuta mfuko haurugusu. Unajikuta sasa kila mwezi gari inahudumiwa karibu 30% ya mshahara.

Tena ukiishi jijini Daslam, unakaa kwenye foleni masaa manne, lazima upate headache kwenye mafuta
 
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe

Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
Unakuta wateja wameshindwa nunua spare kwa wakati au wamesiteeelkeza mkuu
Mafundi wengi nimegundua ndio hio issue
 
Back
Top Bottom