Eti mtaalamu ila ukienda garage kwake unakutana na vyuma zaidi ya kumi vimelala

Ujana na mkumbo jamaa wamenunua BMW wamelipaki tu na hapo wamepanga maisha haya😅😅
 
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe

Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
Gari kukaa gereji, si shida ya fundi, asilimia kubwa ni mteja anae leta mazingira hayo, unamuelekeza vya kununua, na hanunui kwa wakati gari lazima ilalale
 
Wrong: hujafikiria ya kwamba inawezekana ni wamiliki wameshindwa kumudu kununus vipuri (spare parts)?
Hawa ndio wanaopata Range kupitia madini. Elimu ndogo pesa nyingi. Hana na uwezo wakufikiri na kuelewa situation. Hajawaza kabisa kwamba hilo ni tatizo la wamiliki kushindwa kumudu gharama za utengenezaji sio tatizo la mtengenezaji.
 
Kweli kabisa kabisa
 
Utafanyaje sasa na umeua Turbo sababu ya ubahili wa service na turbo bei yake ni Ist used?
 
Inaweza kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wanaomiliki magari wapo kwenye hii hali. Unakuta mtu gari yake ya kwanza anainunua kwa hype anajikuta kwenye hizo sports cars wakati unakuta mfuko haurugusu. Unajikuta sasa kila mwezi gari inahudumiwa karibu 30% ya mshahara.

Tena ukiishi jijini Daslam, unakaa kwenye foleni masaa manne, lazima upate headache kwenye mafuta
Kuna jamaa yangu kanunua Subaru inatembea mwisho wa mwezi tu☺️
 
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe

Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
No alternative this is daslam
 
Tatizo n Utajuaje wanatengeneza aina hiyo ya gari kama usipozikuta hizo gari garage kwake?
Pia wanaweka hizo ili kuchukua spares mana sio kila kitu kimekufa

N Sawa na mbongo akienda kununua kitu, akikuta n bei ghali ndo anaona n original
 
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe

Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
Mbona kwa fundi mafriji tunakuta mafriji mabovu, TV mbovu na tunapeleka?
 
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe

Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
Basi HOPSITALI WASINGEWEKA MORTUARY
 
Back
Top Bottom