BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
ukienda hospital hukuti wagonjwa wengine?!Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe
Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
Kwamba watu hawaumwi au hospital inazingua 😅ukienda hospital hukuti wagonjwa wengine?!
Sasa utafanyaje?Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe
Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
Aende pale MOI kunanmabingwa na mabingwa Hadi wazungu na maprofesa lakini kuna watu Wana muda mrefu sanaKwamba watu hawaumwi au hospital inazingua 😅
Unakuta ila inakuwa nzuri pale wanapopata nafuu na sio kwenda mochwariukienda hospital hukuti wagonjwa wengine?!
Peleka kwa fund sahihiSasa utafanyaje?
Hapo sawa.Peleka kwa fund sahihi
Sawa mkuu, unatumia bia gani lakini?Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.
Muda wa kunywa bia huu wakuu, karibu tunywe bia.Aende pale MOI kunanmabingwa na mabingwa Hadi wazungu na maprofesa lakini kuna watu Wana muda mrefu sana
Na hili ndilo jibu sahihi. Mmiliki anambiwa atoe pesa ya kununulia spare unakuta anazunguka tu au hana. Hata mimi niliwahi kuliacha gari langu baada ya kukosa pesa. Spare za BMW na magiri mengine dizain hiyo siyo mchezo linapokuja swala spareWrong: hujafikiria ya kwamba inawezekana ni wamiliki wameshindwa kumudu kununus vipuri (spare parts)?
Ukilewa epuka kuchat dogoMuda wa kunywa bia huu wakuu, karibu tunywe bia.
Kitanzania hii haishangazi kabisa. Kati ya watu 10 wanaomiliki magari unaweza kuta ni wa-4 tu ndo wanaweza kumudu matengenezo ya papo kwa papo ikitokea gari inataka service ya zaidi ya milioni 1.5.Na hili ndilo jibu sahihi. Mmiliki anambiwa atoe pesa ya kununulia spare unakuta anazunguka tu au hana. Hata mimi niliwahi kuliacha gari langu baada ya kukosa pesa. Spare za BMW na magiri mengine dizain hiyo siyo mchezo linapokuja swala spare
Mimi sio dogo wewe watch your tongueUkilewa epuka kuchat dogo
Tatizo lingine ni kumiliki ambavyo siyo size zetu. Mimi binafsi nilikuja gundua sikuwa nimefikia level za kumiliki hilo gari. Level yangu ilikuwa ni Passo au nikienda sana IST, nikajifanya kujua mwisho wa siku kutwa natembea kwa miguu huku nimepaki Bmw nyumbani kisa tu siwezi mudu mafuta. Gari inatembea mara moja tu kwa mwezi au isitembee kabisa inabaki inabaki kupashwa tu kiporo ili betri isije kuzaa tatizo lingineKitanzania hii haishangazi kabisa. Kati ya watu 10 wanaomiliki magari unaweza kuta ni wa-4 tu ndo wanaweza kumudu matengenezo ya papo kwa papo ikitokea gari inataka service ya zaidi ya milioni 1.5.
Wengine hapo wanaweza kukaa hata miezi mitatu. Na hapo ikatokea shida kidogo ile hela ikienda kwenye matumizi mengine basi ndo gari itakaa juu ya mawe miezi sita
Inaweza kuwa zaidi ya asilimia 80 ya wanaomiliki magari wapo kwenye hii hali. Unakuta mtu gari yake ya kwanza anainunua kwa hype anajikuta kwenye hizo sports cars wakati unakuta mfuko haurugusu. Unajikuta sasa kila mwezi gari inahudumiwa karibu 30% ya mshahara.Tatizo lingine ni kumiliki ambavyo siyo size zetu. Mimi binafsi nilikuja gundua sikuwa nimefikia level za kumiliki hilo gari. Level yangu ilikuwa ni Passo au nikienda sana IST, nikajifanya kujua mwisho wa siku kutwa natembea kwa miguu huku nimepaki Bmw nyumbani kisa tu siwezi mudu mafuta. Gari inatembea mara moja tu kwa mwezi au isitembee kabisa inabaki inabaki kupashwa tu kiporo ili betri isije kuzaa tatizo lingine
Unakuta wateja wameshindwa nunua spare kwa wakati au wamesiteeelkeza mkuuUnakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda kuongeza idadi ya range za kukaa ya juu mawe
Simple explanation hospital inasifika kwa wagonjwa kufariki eti unaumwa unaenda kwenye hospital hiyo hiyo shtuka mkuu.