Eti mtaalamu ila ukienda garage kwake unakutana na vyuma zaidi ya kumi vimelala

Ujana na mkumbo jamaa wamenunua BMW wamelipaki tu na hapo wamepanga maisha haya😅😅
 
Gari kukaa gereji, si shida ya fundi, asilimia kubwa ni mteja anae leta mazingira hayo, unamuelekeza vya kununua, na hanunui kwa wakati gari lazima ilalale
 
Wrong: hujafikiria ya kwamba inawezekana ni wamiliki wameshindwa kumudu kununus vipuri (spare parts)?
Hawa ndio wanaopata Range kupitia madini. Elimu ndogo pesa nyingi. Hana na uwezo wakufikiri na kuelewa situation. Hajawaza kabisa kwamba hilo ni tatizo la wamiliki kushindwa kumudu gharama za utengenezaji sio tatizo la mtengenezaji.
 
Hawa ndio wanaopata Range kupitia madini. Elimu ndogo pesa nyingi. Hana na uwezo wakufikiri na kuelewa situation. Hajawaza kabisa kwamba hilo ni tatizo la wamiliki kushindwa kumudu gharama za utengenezaji sio tatizo la mtengenezaji.
Kweli kabisa kabisa
 
Utafanyaje sasa na umeua Turbo sababu ya ubahili wa service na turbo bei yake ni Ist used?
 
Kuna jamaa yangu kanunua Subaru inatembea mwisho wa mwezi tu☺️
 
No alternative this is daslam
 
Tatizo n Utajuaje wanatengeneza aina hiyo ya gari kama usipozikuta hizo gari garage kwake?
Pia wanaweka hizo ili kuchukua spares mana sio kila kitu kimekufa

N Sawa na mbongo akienda kununua kitu, akikuta n bei ghali ndo anaona n original
 
Mbona kwa fundi mafriji tunakuta mafriji mabovu, TV mbovu na tunapeleka?
 
Basi HOPSITALI WASINGEWEKA MORTUARY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…