Eti na huyu ni Askofu! Maajabu ya dunia! Anachunga Kondoo wa MUNGU

Eti na huyu ni Askofu! Maajabu ya dunia! Anachunga Kondoo wa MUNGU

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Halafu kuna watu wanamsikiliza kama Askofu, mchungaji!

Tuna tatizo kubwa sana kwetu!

Ukiona vipi jinyamazie

ETI : RIPOTI YA CHANDE IMELIPONYA TAIFA

downloadfile-9.jpg
 
Hao ndio matapeli walioamua kufanya utapeli kwa kupitia makanisa. Hapo anaposema 'taifa', anamaanisha tumbo lake.

Kipimo cha kwanza cha mtumishi wa Mungu ni kuwa mkweli daima bila ya kuogopa hasara atakayoipata, hata kama ni kupoteza uhai wake.
 
Back
Top Bottom