Ni udhaifu wa kiubinadamuKuna tofauti kubwa na ya wazi kati ya kutofautiana mawazo na kusema uwongo. Huyo hana mawazo tofauti, bali ni mwongo.
Ni udhaifu wa kiubinadamuKuna tofauti kubwa na ya wazi kati ya kutofautiana mawazo na kusema uwongo. Huyo hana mawazo tofauti, bali ni mwongo.
chokoraa hawez kua askofu gentleman,Huyo sio chawa ***** wewe.
Tutaanza kucheka kabla hajaongea.Ni very hopeless old man.Malasusa akitoa tamko ndiyo utachoka kabisa
Anatafuta bahasha ya Samunge kwa kujikombaHalafu kuna watu wanamsikiliza kama Askofu, mchungaji!
Tuna tatizo kubwa sana kwetu!
Ukiona vipi jinyamazie
ETI : RIPOTI YA CHANDE IMELIPONYA TAIFA
View attachment 3587169