Eti na huyu ni Askofu! Maajabu ya dunia! Anachunga Kondoo wa MUNGU

Hao ndio matapeli walioamua kufanya utapeli kwa kupitia makanisa. Hapo anaposema 'taifa', anamaanisha tumbo lake.

Kipimo cha kwanza cha mtumishi wa Mungu ni kuwa mkweli daima bila ya kuogopa hasara atakayoipata, hata kama ni kupoteza uhai wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…