Eti na huyu ni Askofu! Maajabu ya dunia! Anachunga Kondoo wa MUNGU

Ata sisi wana vatcan tulikuaga na askofu wetu alishawai kutuuza adi akagombana na gwajboi sema ndio ivyo bwama mumgu fundi kamchukua kaenda kumuweka sehemu anapostahili
 
Wakati mnazawadia V8 LC300 mlikuwa mnafikiria nini? Huyo ndo Askofu wa CHADEMA endeleeni kumheshimu hata kama maoni yake hamuyataki.
 
Hawa ndio wanasababisha idadi ya wasioamini katika dini wanaongezeka,likachomwe moto ilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…