Tetesi: Eti Na mwaka huu mishahara kutokupanda! Du!

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Ni kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?

NB: Thanks for proving me wrong!
 
Ni kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?
Maelezo yako yote mwisho wake yanataka katiba mpya Kwa sababu mishahara ya wabunge ipo juu,TRA ipo juu ,miaka 8 hamna nyongeza Sasa wewe unalalamika Tu!
 
Ni kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?
Kama hela zote anapeleka kwao Zanzibar (kaeneo kadogo na kenye watu wachache) mlitegemea nini? Lazima watanganyika mle msoto
 
Ni kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?
Vip Mkuu na FAO LA KUJITOA NSSF
 
FQsKfVcWQAEe-Wg.jpeg
halafu kuna mbuzi zinasema mama anaupiga mwingi uku kukiwa na mawaziri na wabunge kama hawa kwenye comic house pale Dodoma
 
Mwaka ule sio kama 2020 Lady Beauty Sky Eclat! Nitafanya mgomo binafsi wa kupanda ghorofani ili nijirushe nife. Bora kufa kishujaa kuliko upuuzi huu wa kuwapuuza wafanayakazi!
Acha mawazo ya kijinga kauli yako shetani ataifanyia kazi mapema mno
 
Back
Top Bottom