Kama wafanyakazi wamewazidia kuwalipa maslahi yao watoe fursa kwa wale wanaotaka kula kona wapewe mafao yao wasepe, wakasake wa bei chee....vinginevyo utumishi wa umma utaonekana hauna maana na itafikia watu watakuwa hawatimizi wajibu wao kwa weledi, inabaki bora liende...