Huwa nashangaa sana na huu mtazamo wa watu kutaka kupandishiwa mishahara! Wakati wewe unalilia uongezewe mshahara yupo ambaye ana sifa za kuwa mfanyakazi wa serikali kama wewe na anataman hata huo mshahara ulionao wewe! Au ndio ile kusema mwenye nacho huongezewa?