Tetesi: Eti Na mwaka huu mishahara kutokupanda! Du!

Tetesi: Eti Na mwaka huu mishahara kutokupanda! Du!

Ukivitoa vyombo vya ulinzi na usalama watumishi wengine wote huburuzwa tu hakuna wa kusema fyo hta mmoja pamoja na kuwa kuna vyama vyao vya wafanya kazi
 
Nyie hamuoni vita,muomngezwe mshahara uchumi unekua saa ngapi,acheni ubinafsi,tupigike sote
 
Mwaka ule sio kama 2020 Lady Beauty Sky Eclat! Nitafanya mgomo binafsi wa kupanda ghorofani ili nijirushe nife. Bora kufa kishujaa kuliko upuuzi huu wa kuwapuuza wafanayakazi!
 
Ni kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?
.
 
Back
Top Bottom