Maelezo yako yote mwisho wake yanataka katiba mpya Kwa sababu mishahara ya wabunge ipo juu,TRA ipo juu ,miaka 8 hamna nyongeza Sasa wewe unalalamika Tu!Ni kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?
Mimi pamoja na wewe tuchukue hatua!Maelezo yako yote mwisho wake yanataka katiba mpya Kwa sababu mishahara ya wabunge ipo juu,TRA ipo juu ,miaka 8 hamna nyongeza Sasa wewe unalalamika Tu!
Mwaka ule sio kama 2020 Lady Beauty Sky Eclat! Nitafanya mgomo binafsi wa kupanda ghorofani ili nijirushe nife. Bora kufa kishujaa kuliko upuuzi huu wa kuwapuuza wafanayakazi!Hawahitaji kura zenu kubaki madarakani.
Kama hela zote anapeleka kwao Zanzibar (kaeneo kadogo na kenye watu wachache) mlitegemea nini? Lazima watanganyika mle msotoNi kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?
Vip Mkuu na FAO LA KUJITOA NSSFNi kazi kweli kweli! Inaonesha hata mwaka huu mishahara kuna uwezekano mkubwa sana haitapanda. Sasa sijui SSH anashindwa nini? Watendaji hawa wamepeleka Bajeti haina kabisa pendekezo la kupandisha mishahara. Sijui wanataka wafanyakazi waanza kuwa kama wale WaTanzania wanaoishi Marekeni?
Hili limama huwa nalichukia sanaView attachment 2199174halafu kuna mbuzi zinasema mama anaupiga mwingi uku kukiwa na mawaziri na wabunge kama hawa kwenye comic house pale Dodoma
Acha mawazo ya kijinga kauli yako shetani ataifanyia kazi mapema mnoMwaka ule sio kama 2020 Lady Beauty Sky Eclat! Nitafanya mgomo binafsi wa kupanda ghorofani ili nijirushe nife. Bora kufa kishujaa kuliko upuuzi huu wa kuwapuuza wafanayakazi!
Endelea kutoa huduma kikamilifu kiongozi mungu atakulipa wapokea huduma sio makosa yetu πππasipoongeza mwaka huu nitatimiza nusu ya majukumu yangu tu, wapokea huduma mnisamehe.