Tetesi: Eti Na mwaka huu mishahara kutokupanda! Du!

Huwa nashangaa sana na huu mtazamo wa watu kutaka kupandishiwa mishahara! Wakati wewe unalilia uongezewe mshahara yupo ambaye ana sifa za kuwa mfanyakazi wa serikali kama wewe na anataman hata huo mshahara ulionao wewe! Au ndio ile kusema mwenye nacho huongezewa?
 
 

Attachments

  • VID-20220424-WA0047.mp4
    4.6 MB
Mbona kiongozi alishatwambia Kila kitu kitapanda kwahiyo hadi mishahara itapanda tuwe na subira Tarehe 1 mbona ni karibu sana tusipige ramli.
 
Itakuwa mwaka wa saba bila increment yoyote, Hakika ajira ni zaidi ya Utumwa
Wewe ndo huna habari wala maarifa; sasa kama Waziri wa Utumishi keshashoma hotuba yake na haizungumzii nyongeza ya mishahara unataka chanzo gani kingine?

Yan matanzania majinga sana😀
 
Sikubaliani na Mama kwa mambo mengi Ila la mshahara unamuonea. Mei Mosi ni wiki ijayo. Ya nini kulishana maneno?
 
Imeonyesha toka wapi
 
Mwacheni mama Ajenge UCHUMI kwanza kama mmevumilia kwa Miaka 6 ENDELEENI KUVUMILIA
 
Tafuta hotuba ya Mwigulu ya muhtasari wa muelekeo wa bajeti. Acha kukurupuka.
 
Tafuta hotuba ya Mwigulu ya muhtasari wa muelekeo wa bajeti. Acha kukurupuka.
Kasemaje? Kwani umesahahu na mwaka jana si alihutubia hivyo hivyo? Uliona imepanda?
 
Wewe ndo huna habari wala maarifa; sasa kama Waziri wa Utumishi keshashoma hotuba yake na haizungumzii nyongeza ya mishahara unataka chanzo gani kingine?

Yan matanzania majinga sana😀
Kabisa kabisa!
 
watumishi wa umma wa kitanzania poleni sana , yani tangu enzi za zile jamaa hadi leo hakuna hata mia , loh mungu awasaidie sana, maana wao kipaumbele chao ni wao na ndugu zao wengine mjifie tu, ndiomaana hawatosheki hadi wanataka sheria ya wake zao kuendelea kulaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kama sio Kuraaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…