Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu!

Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
Dah,
madaktari wa kimasai mitaani wanapataga tabu sana wanapokutana na wagonjwa wabishi wasiotaka kunywa dawa kwa manufaa yao.

ama kwahakika hakuna kazi nyepesi 🐒
 
Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu!

Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?

Endelea jombi na Ugimbi ..


Bwana Yesu Mwenyewe alishawahi kubadilisha maji kuwa 'vyombo" na Wale Watu walivyopiga 'vyombo vilivyotokana na muujiza wakashangaa inakuaje "vyombo" poa kama hivyo vinaletwa mwishoni mwa sherehe?
 
Back
Top Bottom