Eti ni kweli wadada humu tumepauka?

Hzi kelele za wanaume wanasema eti yafuatayo.
1. Tunasura za baba zetu
2. Tumepauka
3. Tunanjaaa
4. Tumezeeka
5. Wengi ni single mom

Kama ndio hivyoo wenye nazo mjitokeze mtusupport ili tusiwe na hivyo viashiria vya njaa
Ungeweka kapicha Bas!!

Sema madem wa jf wapo wanajishtukia sana yaani na kujishuku mno!!

Yaani anawahi ku sepa akihofu kasoro ambayo hata hatuna mpango nayo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…