MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Siku hizi nina machimbo mengi sana humu JF, hivyo yule Kalumanzira naweza mkwepaHahaa! Mkuu Malcom Lumumba, itabidi hii ratiba yako ya weekend kuja kuwapigia misele wakina Demiss nami hivi sasa itabidi niizingatie; sema tu kumendea hivi vingine mtu hukawii kujikuta umelala na maiti kutokana na sayansi asili ya yule jamaa, sijui Mpare yule, sijui Mchaga... yaani ni hofu tupu!