Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Siku hizi nina machimbo mengi sana humu JF, hivyo yule Kalumanzira naweza mkwepa
 
@Chige the don hatanisahau katika ufalme wake. Nishamtumia namba ya mpesa airtel money tigo pesa na z pesa account ya crdb equity na Barclays nasubiria tu atakapotuma. Ntakupa mrejesho wifi
Kabisaaa yani tajiri la Jf mtu mzitooo



chige
 
Afu sijui kwanini sijui...

Hii thread ya Demiss naona imenipa mizuka ya kuhonga isivyo kawaida... someone anishike wadau...si kwa midadi hii!! Naweza kuanza kuzitoa kweli mjue!!!
Jana hiyo,
Mimi na Wick tulikuwa tunafanya kikao kuhusu mkakati wa kuanza kuhonga.
Siku hizi hatutakuwa na maneno mengi sana, wewe unaweka picha yako ya A4 halafu sisi tunakutumia noti.
 
Hahahahahahaha, 30 Minutes Offer
Wewe Chige siyo mtu mzuri, hiii level yako ya Extortion siyo ya dunia hii.
Halafu kabla ya Account Number mwambie atume picha yake A4 inayoonyesha mwili mzima
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…