Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Hahaa! Mkuu Malcom Lumumba, itabidi hii ratiba yako ya weekend kuja kuwapigia misele wakina Demiss nami hivi sasa itabidi niizingatie; sema tu kumendea hivi vingine mtu hukawii kujikuta umelala na maiti kutokana na sayansi asili ya yule jamaa, sijui Mpare yule, sijui Mchaga... yaani ni hofu tupu!
Siku hizi nina machimbo mengi sana humu JF, hivyo yule Kalumanzira naweza mkwepa
 
Afu sijui kwanini sijui...

Hii thread ya Demiss naona imenipa mizuka ya kuhonga isivyo kawaida... someone anishike wadau...si kwa midadi hii!! Naweza kuanza kuzitoa kweli mjue!!!
Jana hiyo,
Mimi na Wick tulikuwa tunafanya kikao kuhusu mkakati wa kuanza kuhonga.
Siku hizi hatutakuwa na maneno mengi sana, wewe unaweka picha yako ya A4 halafu sisi tunakutumia noti.
 
Watoto wa chuo ndo wanahongana vocha.. toa taarifa zifuatazo nitulize mizuka:
Account Name
Account Number
Name of your Banker
Swift code

Pia mwondolee hustle my banker kwa kunitumia correspondence bank anayeweza kupitisha from Citibank. Hurry... tuma hizo taarifa mara moja! Offer expires after 30 minutes! Mie sio mtu wa kutuma za madafu kama Malcom Lumumba na hizo MPesa zake sijui takataka gani sijui!!!
Hahahahahahaha, 30 Minutes Offer
Wewe Chige siyo mtu mzuri, hiii level yako ya Extortion siyo ya dunia hii.
Halafu kabla ya Account Number mwambie atume picha yake A4 inayoonyesha mwili mzima
 
Hahaa! Mkuu Malcom Lumumba, itabidi hii ratiba yako ya weekend kuja kuwapigia misele wakina Demiss nami hivi sasa itabidi niizingatie; sema tu kumendea hivi vingine mtu hukawii kujikuta umelala na maiti kutokana na sayansi asili ya yule jamaa, sijui Mpare yule, sijui Mchaga... yaani ni hofu tupu!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji3]
 
Back
Top Bottom