Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mimi tena ,huwa sijionei hata huruma kbs ,kuhonga raha Mkuu, humu kuna mmoja nataka kumpa surprise ya hongo moja matata sanaMzee nawewe unapenda kuhonga ???
Karibu sana chamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi tena ,huwa sijionei hata huruma kbs ,kuhonga raha Mkuu, humu kuna mmoja nataka kumpa surprise ya hongo moja matata sanaMzee nawewe unapenda kuhonga ???
Karibu sana chamani
Bwahahahahaha,Mimi tena ,huwa sijionei hata huruma kbs ,kuhonga raha Mkuu, humu kuna mmoja nataka kumpa surprise ya hongo moja matata sana
Naskia wewe ndiyo unaleta U-SNITCH kwa mwanetu eeeh ???hahahaaa mimi nimefanyaje sasa
Umeamua kuniacha pm kwenye mataa kumbe upo huku jibu pm basiUtawakuta wenzio na hakuna kupigana sasa!.. 😎 😎
Natamani nimjue huyo mwenye bahatiMimi tena ,huwa sijionei hata huruma kbs ,kuhonga raha Mkuu, humu kuna mmoja nataka kumpa surprise ya hongo moja matata sana
Ya wivi?Jitaje mparee
Usiharibu sifa ya wachaga
Ikurudie na wewe Shunie,Heshima yako anko
Sijaelewa wivi ndo niniYa wivi?
aaghh " Mimi mkuu na u-snitch wapi na wapi" na ushemasi wote nilionao huu""...Naskia wewe ndiyo unaleta U-SNITCH kwa mwanetu eeeh ???
Hahahahahaha,aaghh " Mimi mkuu na u-snitch wapi na wapi" na ushemasi wote nilionao huu""...
Traditional Scientist, The Injinia, Mtengenezaji A.K.A El Maestro upo ndugu yangu.....!!Ya wivi?
Mpwa.. mimi niko vyema " hofu kwako tu mkuu"".... hahaha tatizo la ninja lugola Wick ni womaniser " so ma-chiks wote wameshaambiana" kuwa jamaa ni heartbreaker may be" aje na fake ID ...atawatafuna tu" kama ilivyokuwaga awali...hahaa ... CastrHahahahahaha,
Naskia wewe ndiyo unaharibu plan zake hapa.
Vipi lakini mzima wewe mpwa wangu ??????
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] nipo ndugu yangu bado sijahama kilingeTraditional Scientist, The Injiania, Mtengenezaji A.K.A El Maestro upo ndugu yangu.....!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]