Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

[emoji23] Hivi kuna mwenye akili ana hela, wote tunakuaga makapuku basi tu ni mabingwa kujivimbisha!..
Eti ipi bora kojozwa umepanda phoenix au usikojozwe utembelee Passo 🙂
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Phoenix itanchubua miye si msukuma atii
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] please wait
 
Huyu alisema mimi Kibabu hawezi kufungua PM yake nisije nikaja kujisifia wongo hapa jukwaani.
Japo mimi nilitaka kuzungumza naye kama mwanangu/mtoto wangu tu
😳 😳 ulimfatiria chige vizuri lakini huyu mwanakamati kama yupo bize PM isije kuwa kadanganywa na hearly kutugeuka!.
Ila hakuna tatizo bana chura hapigwi teke! 😀
 
Back
Top Bottom