Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mfyuuuu hakunaNichagulie mmoja ukienda mission analinda mali!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfyuuuu hakunaNichagulie mmoja ukienda mission analinda mali!.
Kapukuz tupo wengi mazee, lakini tutahonga tu pale inapowezekan.Mimi ni Kapuku Grade A ila ikitokea chance ya kukuiba kwa G ntaenda kopa bank nikuchomoe!.. 🙂
Hahahahaha,Huyo Karumanzira tutamuendea Wakanda (Gamboshi) tunamlia chake hata Chalinze ila yeye asichomoke nje ya Msata!.
Hahaha, eti kapuku tuko wengi ,nilijua niko mwenyewe tu ,kuhonga nako raha sana ujue MkuuKapukuz tupo wengi mazee, lakini tutahonga tu pale inapowezekan.
Si ndo hapo, kuchezea moto petrol station wengine tumeanza muda bana!..Kapukuz tupo wengi mazee, lakini tutahonga tu pale inapowezekan.
Tena karumanzira utaalamu wake wa kusomea, tukimletea wazawa atakaa tu!. [emoji23]Hahahahaha,
Gamboshi watamtengeneza mpaka akae tu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Phoenix itanchubua miye si msukuma atii[emoji23] Hivi kuna mwenye akili ana hela, wote tunakuaga makapuku basi tu ni mabingwa kujivimbisha!..
Eti ipi bora kojozwa umepanda phoenix au usikojozwe utembelee Passo 🙂
Hii mbinu imefeli....hata bill gates asingetuma...
Kwani alikua serious?Demmis mpk mda huu umeprove wanazo au hawana!!?
Mzee nawewe unapenda kuhonga ???Hahaha, eti kapuku tuko wengi ,nilijua niko mwenyewe tu ,kuhonga nako raha sana ujue Mkuu
Mzee wa kujiboom....Demiss anapewa ofa lakini hataki sasa!Si ndo hapo, kuchezea moto petrol station wengine tumeanza muda bana!..
Malcom Lumumba alisemaje ulipompa ombi la ile Raum!?.. Naamin ulimtumia picha[emoji3] [emoji3] [emoji3] Phoenix itanchubua miye si msukuma atii
[emoji23][emoji23][emoji23] nahitaji kuacha jihad nazofanya siku moja nitajilipua 28 megaton blast kwakweli!!..Mzee wa kujiboom....Demiss anapewa ofa lakini hataki sasa!
Mwache aendelee na Kalumanzira wake
Huyu alisema mimi Kibabu hawezi kufungua PM yake nisije nikaja kujisifia wongo hapa jukwaani.Malcom Lumumba alisemaje ulipompa ombi la ile Raum!?.. Naamin ulimtumia picha
😳 😳 ulimfatiria chige vizuri lakini huyu mwanakamati kama yupo bize PM isije kuwa kadanganywa na hearly kutugeuka!.Huyu alisema mimi Kibabu hawezi kufungua PM yake nisije nikaja kujisifia wongo hapa jukwaani.
Japo mimi nilitaka kuzungumza naye kama mwanangu/mtoto wangu tu