Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Mim sina kitu mkuu ila namilik acount ya bank yenye kiasi cha dollar $6000 ninkiasi kidogo sana
 
Hatuna mama! Tusaidie kama unazo
 
Hivi unajua udangaji wa badoo mnashusha hadhi ya jf kweli unatumia cheap means kama hizi kutapeli watu kwa kisingizio cha jukwaa la chitchat!.hivi ukitumiwa hela au hayo madolari utarudisha? Ugumu wa maisha tafuta njia za kupambana nao!.
Sio kudanga jf
Nawashauri vijana wenzangu epukeni vioja kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…