Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wewe unanifaa. Na mimi napenda kulea wazee hasa wasio na mkono mfupi. Nitakupenda mpaka utatamani urudi miaka 30 tuenjoy vizuri. Kwanza chige kala angu
 
Basi wewe unanifaa. Na mimi napenda kulea wazee hasa wasio na mkono mfupi. Nitakupenda mpaka utatamani urudi miaka 30 tuenjoy vizuri. Kwanza chige kala angu
Naam, naaaam!
Kesho naenda na Wick kuuza ng'ombe zangu mnadani aiseee!
Pensheni nayo tutakula wote maana imebaki miaka michache.....Umesikia mama ehh???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…