Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Hahahhaha asante kwa ushauri najua huwez kupita kwenye uzi wangu bila kucomment na nimekukaa sana kichwani mwakoo huwez kunikaushia hata kidogo utaanzaje kwa mfano wakati bila mm walaah hujisikii rahaaa mxeeeww
 
Pesa haziongei ila inategemeana na mnavyotuchukulia tu.

Ukiulizwa zimetoka wapi utamjibuje mzee wa Kilingeni?
Mbn anajua mke wake kuandika kwangu nyuzi mbalimbali hujui kuwa max ananilipa ahahhaha anaelewa mbna
 
Wewe tena huna hata mia unayo ya bundle la chuo tu ofa chapchap au UNI kutwaa washinda jf umekaaa unachat
"tunapokuwa masikan maselaa hatana kituuuuu sisi mtueleweee hatuna kituuuuuu" [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…