Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha asante kwa ushauri najua huwez kupita kwenye uzi wangu bila kucomment na nimekukaa sana kichwani mwakoo huwez kunikaushia hata kidogo utaanzaje kwa mfano wakati bila mm walaah hujisikii rahaaa mxeeewwWewe mtoto angalia shule yako,kushinda mitandaoni na kisimu chako cha mchina kutwa unatema pumba haitokusaidia kitu,tulia ufundishwe japo upate akili ya kuvukia barabara,
Na huko mbeleni unapoelekea kama hutobadilika ndio utakua omba omba zaidi,usijifanye eti umetuma coz hili ni jukwaa la chit-chat,hivyo ndivyo ulivyo,
Kua makini sana usije ukasumbua watu uzeeni mwako.
Ha haaa lakin hata mkizipata kwa wenye nazo bado mashine mnaitaka tu maana hao wengi wanapalasa tu.Mashine kasagie mahindiii
"tunapokuwa masikan maselaa hatana kituuuuu sisi mtueleweee hatuna kituuuuuu" [emoji23]Wewe tena huna hata mia unayo ya bundle la chuo tu ofa chapchap au UNI kutwaa washinda jf umekaaa unachat
Hilo kwangu halipoooHa haaa lakin hata mkizipata kwa wenye nazo bado mashine mnaitaka tu maana hao wengi wanapalasa tu.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
picha size A4 ikiwa imepigwa wima tafadhali!..🙂Ewaaaah,naaam naaaam!
Usisahau kupeleka na picha yako kama GUARANTEE ya Muhamala.
Aisee..wikiendi inaenda murua kabisaNi kweli kabisa ni makapuku wakubwa
Wamening'iniza vyumbu vyao tu hawana la zaidi