Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Kipengele cha 3 NAKAZIA tafadhali!.. 1 na 2 tunaweza jisahaulisha kwa muda kidogo!..
 
Kwani unauza nini dada, ina TV [emoji342] ndani?
 
Demiss kaka yako Wick amejitolea kukupa mang'ombe ukauze.
Mimi miwa ikikomaa ntakutumiamo hata Kaelfu tano tigo pesa.
Natunza hii comment kwa matumizi ya baadae waalaah nitakudai hiyo buku 5 milele na milele mpaka utume ngoja screenshot niitunze kwenye diary ya simu kwenye helaa tena
 
Mbn anajua mke wake kuandika kwangu nyuzi mbalimbali hujui kuwa max ananilipa ahahhaha anaelewa mbna
Haya leta namba yako nitoe hata soda kwa Mangi.
Ila usimwambie Mshana Jr akanufuata 02:00 Am
 
Hahahhaha asante kwa ushauri najua huwez kupita kwenye uzi wangu bila kucomment na nimekukaa sana kichwani mwakoo huwez kunikaushia hata kidogo utaanzaje kwa mfano wakati bila mm walaah hujisikii rahaaa mxeeeww
Acha kua na fixed mind mentality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…