1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
wenye pesa hawajitaji,,Kwahiyo na wewe unakubali jf hakuna wanaume wenye pesaa
ukiona mtu hapa kajitaja pigia mstari huyo wa maisha ya kawaida tu,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenye pesa hawajitaji,,Kwahiyo na wewe unakubali jf hakuna wanaume wenye pesaa
Mimi mfugaji huku kanda ya ziwa, najitolea kukufadhili mang'ombe ukauze!😀Mimi mkulima wa miwa huku Kagera pesa ntapata pale miwa ikizaaa.
Sasa hivi niko juu ya mawe, lakini ukiweka picha naweza kwenda hata kukopa na nkakutumia.
Hahahahahaha,Thubutuuu
Boksa unazo!?..Sasa kumbe unatuma Mpesa Kisha nazilipia?
Mbogamboga zilizoandaliwa
Nguo za kiume Shirt slimfit
Suruali
Mikanda
Wallets
Na T-shirts
Demiss kaka yako Wick amejitolea kukupa mang'ombe ukauze.Mimi mfugaji huku kanda ya ziwa, najitolea kukufadhili mang'ombe ukauze!😀
Kipengele cha 3 NAKAZIA tafadhali!.. 1 na 2 tunaweza jisahaulisha kwa muda kidogo!..
kila la kheriAiseee nasubiria nilete mrejesho kesho account yangu itakuwa inasoma ngapi?
Natunza hii comment kwa matumizi ya baadae waalaah nitakudai hiyo buku 5 milele na milele mpaka utume ngoja screenshot niitunze kwenye diary ya simu kwenye helaa tenaDemiss kaka yako Wick amejitolea kukupa mang'ombe ukauze.
Mimi miwa ikikomaa ntakutumiamo hata Kaelfu tano tigo pesa.
Haya leta namba yako nitoe hata soda kwa Mangi.Mbn anajua mke wake kuandika kwangu nyuzi mbalimbali hujui kuwa max ananilipa ahahhaha anaelewa mbna
Acha kua na fixed mind mentality.Hahahhaha asante kwa ushauri najua huwez kupita kwenye uzi wangu bila kucomment na nimekukaa sana kichwani mwakoo huwez kunikaushia hata kidogo utaanzaje kwa mfano wakati bila mm walaah hujisikii rahaaa mxeeeww