Angalia tu nisibadili pozi la picha unavyochelewa!.Mxeweew wewe mzee una mambo
Jukwaa hili hapaUpo jukwaa gani?
teh teh teh,, tatizo mkishaa shunie, demis ,rey, mama sabrina,, basi mwisho wa uzi ni burn tu [emoji23] [emoji23]Naona rafiki yako pugi kabadili id jana alikuwa anaserereka kweny uzi wangu kama siyo yeye haahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo na wewe umeamua kujitetea kama babu yangu Malcom Lumumba kwa kigezo cha pichaAngalia tu nisibadili pozi la picha unavyochelewa!.
Namba sio sahihi imemiss herufi 1!..Hebu usipanic vuta pumzi iandike vizuri tena!.Unatoka nje ya mada njoo pm nimekutumia account no niwekee madorali
sijui chochote yaaan kiukweli! kama najua kwa nn nikuulize?Mxeweew usijifanye hujui
Tena afanye haraka sana mchakato uanzepicha size A4 ikiwa imepigwa wima tafadhali!..🙂
NaisubiriaTayar angalia pm nimetuma
Haya lete account nikujaze madolari ukanywe wine jioni ya leo.Soma vizur mada yangu
Umepata Mkulima na Mfugaji bado hutaki watumia vizuri kweli kabisaaa hujui kula na vipofu!!??..Kwahiyo na wewe umeamua kujitetea kama babu yangu Malcom Lumumba kwa kigezo cha picha