Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Haya weka account namba sasa ma papaa tuchane waleti.Pesa n rafiki wa mwanaume lazma iwepo tu kiumeni
 
Naona rafiki yako pugi kabadili id jana alikuwa anaserereka kweny uzi wangu kama siyo yeye haahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
teh teh teh,, tatizo mkishaa shunie, demis ,rey, mama sabrina,, basi mwisho wa uzi ni burn tu [emoji23] [emoji23]

ID gani hiyoooo?
 
Back
Top Bottom