Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Natunza hii comment kwa matumizi ya baadae waalaah nitakudai hiyo buku 5 milele na milele mpaka utume ngoja screenshot niitunze kwenye diary ya simu kwenye helaa tena
Miwa ikikomaa vocha utapewa tu rafiki yangu....
Uwe unanikumbusha basi eeeh
 
Umepata Mkulima na Mfugaji bado hutaki watumia vizuri kweli kabisaaa hujui kula na vipofu!!??..
Unamcheki na wewe eeeh ???
Tena midume ya kutoka kanda ya ziwa.
Hatunaga mbwembwe sisi kwenye kugawa pesa
 
Ni Pm namba yako au ac yako kama unatumia Crdb,nikupe hela ya weekend!!
 
Nimekubali mzee kainyoosha nchi. Hata wanawake wanabuni mbinu za kuwatapeli watu?? wallah shem wangu umenitia aibu sana. mshana jr ameshindwa kukupa za kwenda shopping hata hapo Kampala?? Shem, usijaribu kuwatapeli watu, wengine vyao ni vigumu kumeza. Shaurilo, kumbuka hata katoto hamjapata na mshana jr
 
Amin Amin nakwambia, I don't have to prove anything to anyone who is just another stranger in social media..[emoji41]
 
Weka acc no.
Then you must know mjini hamna cha bure yajayo yatanifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…