Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesikia Demiss ???Kipengele cha 3 NAKAZIA tafadhali!.. 1 na 2 tunaweza jisahaulisha kwa muda kidogo!..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuendeleee na kutumiana mapesaa
Huwezi lifata kama unanunua bana!..Hahahhahaha subiri mwezi wa 6 mwakani natimba huko uliko nifate dume la ng'ombe
Ha haaaa kweli wewe kiboko malkia wa chit chat[emoji23].mfanyabiashara tu hapa karibu tu spend kitita siku moja.Kahama unafanya kazi gani kwanza?
Miwa ikikomaa vocha utapewa tu rafiki yangu....Natunza hii comment kwa matumizi ya baadae waalaah nitakudai hiyo buku 5 milele na milele mpaka utume ngoja screenshot niitunze kwenye diary ya simu kwenye helaa tena
Akichelewa tunahamisha dau!..Tena afanye haraka sana mchakato uanze
Unamcheki na wewe eeeh ???Umepata Mkulima na Mfugaji bado hutaki watumia vizuri kweli kabisaaa hujui kula na vipofu!!??..
Kama kagoma wewe lipeleke tu mzee!Kanikasirisha sana napeleka ng'ombe mnadani kesho!..
Hahahahaha, wewe mwache tu!Tatizo Demiss kashazoea kanda ile ya waenda sokoni!..
Kukubali vipi tena ?Hahahah kweli unakubali na wewe