Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Mpwa.. mimi niko vyema " hofu kwako tu mkuu"".... hahaha tatizo la ninja lugola Wick ni womaniser " so ma-chiks wote wameshaambiana" kuwa jamaa ni heartbreaker may be" aje na fake ID ...atawatafuna tu" kama ilivyokuwaga awali...hahaa ... Castr
😱 hivi kuona furaha yangu inapepea kwako deal eehh!?.. Bahati mbaya Mshana Jr. kama kapotea hivi, ningemuomba kombora moja tu!.
 
Back
Top Bottom