Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Eti ni kweli wanaume wa Jf hamna pesa?

Swadakta, uzuri ss makapuku ,kuhonga hatuogopi ,hasa tukishauza mazao na mifugo yetu
Hahahahahaha,
Kuna jamaa yangu moja alipataga pensheni bwana akakimbia hadi nyumbani kwake kwenda kuishi na kimwanafunzi cha chuo. Akakijengea nyumba kijijini kwao, tulivyomuuliza mzee mbona unatumia vibaya akatujibu kwamba anafanya hivyo kwasababu anakaribia kufa na mpaka zinaisha atakuwa keshakufa.
 
Maramamae huyo Shujaa ,hy inaitwa ponda Mali kufa kwaja
 
Nipo hapa. Nilikua nambembeleza chige pm anitumie japo ya wine tuu
Hivi Mzigua kwanini unapenda kunikosea bhana?! Mara MPesa wakati unafahamu kabisa hayo vimihamala vya MPesa ni vya wauza mchele... au siku hizi kuna MPesa Forex Account?!

Hapa tena, oh! Eti unanibembeleza! Yaani unataka nionekane bahiri sio... kwamba, sifanyi money transfer hadi nibembelezwe!!
 
Back
Top Bottom