Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha,Swadakta, uzuri ss makapuku ,kuhonga hatuogopi ,hasa tukishauza mazao na mifugo yetu
Maramamae huyo Shujaa ,hy inaitwa ponda Mali kufa kwajaHahahahahaha,
Kuna jamaa yangu moja alipataga pensheni bwana akakimbia hadi nyumbani kwake kwenda kuishi na kimwanafunzi cha chuo. Akakijengea nyumba kijijini kwao, tulivyomuuliza mzee mbona unatumia vibaya akatujibu kwamba anafanya hivyo kwasababu anakaribia kufa na mpaka zinaisha atakuwa keshakufa.
Na sifungui tutapambana na hii hii..Hahahah ngoja tusubilie I'd yako mpya
Nipige hela mpaka nikiuza ng'ombe wangu mnadani 🙂..Upige au utume mpesa
Oh Lord, miss you too my Dada Binamu!! Hivi kwanini unaadimika hivi... unanitia upweke ujue!!!Kaka chige miss u kaka angu [emoji8]
Hawa ndio risk taker wenyewe sasa!.. Anajilipua huku anadaiwa kodi!. 😀Bwana mdogo hajutiii kabisa
Lau kama majungu ingekuwa mtaji, hivi sasa ungekuwa level za kina Dangote!!! Shunie dadangu, achana na fitina za huyu jamaa...Kaka chige teh teh teh teh !
Hivi Mzigua kwanini unapenda kunikosea bhana?! Mara MPesa wakati unafahamu kabisa hayo vimihamala vya MPesa ni vya wauza mchele... au siku hizi kuna MPesa Forex Account?!Nipo hapa. Nilikua nambembeleza chige pm anitumie japo ya wine tuu
Mwambie huyo!!!Huyo tycoon anajua mwaga fedha kama chizi.
Akikupenda tu, lazima akujengee nyumba!Maramamae huyo Shujaa ,hy inaitwa ponda Mali kufa kwaja
Oh! I'm touched! Ngoja niongee na PA wangu na bila shaka atawasiliana na wewe soon!!!Nifikirie jamani. Usiku umepita bila bila leo
HahahaAkikupenda tu, lazima akujengee nyumba!
Hhahahah yule jamaa sijui mchagga wa wapi aisee!
Watu wanahonga pensheni sembuze kodi ???Hawa ndio risk taker wenyewe sasa!.. Anajilipua huku anadaiwa kodi!. 😀